Wednesday, March 26, 2014

MBOWE:NI KWELI UKAWA TULIFIKIRIA KUJITOA BUNGE LA KATIBA




Akihojiwa na Sauti ya Ujerumani Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa UKAWA amekiri kwamba ni kweli mpango wa kujitoa upo na kwamba wamekubaliana kuvumilia kwa muda kuwapa Ccm muda wa kufikiria mara mbili kuaha kuvuruga mchakato. "Ni kweli wazo la kujitoa lilikuwepo tangu jana na katika kikao cha leo, lakini tumesihi wenzetu kuvumila kidogo huku tukiwapa nafasi wenzetu kujaribu kerekebisha hali inyoendelea."

Amesma pia kwamba UKAWA hawalalamikii nafasi katika kamatia bali uvunjifu wa makusudi wa kanuni.

Tags:

0 Responses to “MBOWE:NI KWELI UKAWA TULIFIKIRIA KUJITOA BUNGE LA KATIBA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI