Monday, March 24, 2014

MPENZI WANGU ANAPENDA PICHA MPAKA ANAKERA..!! KILA SAA PICHA



 
Nimejaribu kumkanya sana bado tu haachi tabia hiyo ya kupiga piga picha, Bora basi hata picha zenyewe ziwe za maana, Picha zake ni shida tupu, yani za utata, unaweza hata ukafa kwa presha ukiziona, ni hatari sana. Naombeni ushauri jamani maana nimeshasema mpaka nimechoka..!!

Tags:

0 Responses to “MPENZI WANGU ANAPENDA PICHA MPAKA ANAKERA..!! KILA SAA PICHA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI