Tuesday, March 11, 2014

NGUO FUPI YAMTOKEA PUANI DADA HUYU ..AFUATWA NA MIDUME YENYE UCHU KAMA NYUKI




Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha viungo adimu katika mwili...Huyu Dada alimfika baada ya kuvaa kimini na kukatiza mitaaa bila woga ....Ona kundi ka wanaume wenye uchi wakimfuata nyuma huku mate yakiwadondoka.....MweeeeeA

Tags:

0 Responses to “NGUO FUPI YAMTOKEA PUANI DADA HUYU ..AFUATWA NA MIDUME YENYE UCHU KAMA NYUKI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI