Monday, March 10, 2014

WEBSITE MPYA YA AJIRA IMEINGIA MTAANI IJULIKANAYO KAMA " JOBS ONLINE TZ"




Website mpya ya Ajira ijulikanoyo kwa jina la Jobs Online Tanzania, Imeingia Online Sasa Kwakishindo , hususani kwa wale wanaotafuta Ajira Kila kukicha hii ndo Msaada kwao,Haina Haja ya Kujinunulia Magazeti lundooooooooo..Wakati umerahisishiwa Kila kitu unakikuta Online Mwanzo Mwisho

Waweza Kutembelea Website Yao BOFYA HAPA

Tags:

0 Responses to “WEBSITE MPYA YA AJIRA IMEINGIA MTAANI IJULIKANAYO KAMA " JOBS ONLINE TZ"”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI