Tuesday, March 25, 2014

RECHO KIZUNGUZUNGU AAMUA KUANIKA TATOO YAKE MTANDAONI, ICHEKI HAPA







 
Msanii wa Miondoko ya Bongo fleva ajulikanaye kwajina la Recho naye leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi Tatoo zake alizozichora mwilini mwake.
Waweza Jionea mwenyewe hapa chini:
Aliweza kumtambulisha Mchoraji wa Tatoo hizo kwa kuweka Picha yake pia katuka Ukurasa huo so kama nawewe wapenda waweza Mfollow na kuweza Kuchorwa..SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOTOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “RECHO KIZUNGUZUNGU AAMUA KUANIKA TATOO YAKE MTANDAONI, ICHEKI HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI