Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWS : MLIPUKO MKUBWA UNAOZANIWA NI BOMU WATOKEA ARUSHA. SOMA HAPA



Taarifa kutoka kwa Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu wakitazama mpira.

Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa ulioambatana na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kwamba vimetokea vifo na wengine wamejeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu.
CREDIT :MILAD AYO

Tags:

0 Responses to “BREAKING NEWS : MLIPUKO MKUBWA UNAOZANIWA NI BOMU WATOKEA ARUSHA. SOMA HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI