Sunday, April 14, 2013
Kutoka Bungeni: Mbunge aomba Bangi iruhusiwe kulimwa!
Sunday, April 14, 2013 by Unknown
Akiuliza swali la nyongeza, Mh. Ali Keisy Mohamed (CCM) amesema tumbaku ina madhara mengi lakini serikali bado inalitambua kama zao la biashara, ameuliza kwanini serikali sasa isipeleke nguvu kwenye bangi kwani kuna sehemu inaruhusiwa
- Naibu Waziri wa kilimo Adam Malima alisema serikali itaangalia uwezekano wa kuihalalisha bangi ili iweze kuliongezea taifa kipato kama ilivyo kwa sigara ingawa ina madhara kiafya

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
- TAZAMA PICHA 11 KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GURUMO DAR USIKU HUU.
- BREAKING NEWS : MLIPUKO MKUBWA UNAOZANIWA NI BOMU WATOKEA ARUSHA. SOMA HAPA
- ANGALIA PICHA MBALI MBALI ZA MATUKIO YA MAFURIKO YA JIJINI DAR YALIVYO SASA
- POLICE MURDER AL SHABAAB TERRORISTS WHO KILLED 6 AND LEFT A BULLET IN BABY SATRIN'S BRAIN
- MAFURIKO YATIKISA JIJI LA DAR..HALI NI MBAYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Kutoka Bungeni: Mbunge aomba Bangi iruhusiwe kulimwa!”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.