Wednesday, July 3, 2013

"KAMA BABA YAKO ANGEKUWA NI SHOGA, WEWE BARACK OBAMA USINGEZALIWA"...HII NI KAULI YA WANANCHI WA KENYA




Akiwa nchini Senegal,Rais Obama alinukuliwa na vyombo vya habari akiyasisitiza mataifa ya afrika kuhusu kutambua uwepo wa MASHOGA na kwamba haki zao za msingi ni lazima ziheshimiwe...

Kauli hiyo imewachefua wengi hasa viongozi wa dini nchini Kenya .

Jana, kiongozi wa kiislamu alimuuliza obama swali gumu sana kwamba "Atajisikiaje endapo atabaini kuwa watoto wake wa kike Sasha na Malia ni WASAGAJI???"

Kwa mtazamo huo huo, Wakenya nao wamepaza sauti zao na kumhoji obama kwamba "Angeupataje urais wa marekani kama baba yake mzazi angalikuwa ni SHOGA wa kuliwa 0712, au 0713 au ile 0718????"..

Waafrika wengi wameanza kumuona Obama kama mtu msaliti na mbinafsi.Yeye alizaliwa baada ya wazazi wake kukutana kimwili, mama akabeba mimba na hatimaye akamzaa yeye.Mungu akambariki, leo hii ni Rais wa taifa kubwa duniani.

Iwaje yeye azunguke duniani na kutetea mambo ya USHOGA na ndoa za jinzia moja??

Huo ni ubinafsi..Sitaki niseme mengi.

ANGALIA HII VIDEO HAPO CHINI UONE WAKENYA WANAVYOMCHUKULIA OBAMA



credit
: Kenyan Daily Post


Tags: ,

0 Responses to “"KAMA BABA YAKO ANGEKUWA NI SHOGA, WEWE BARACK OBAMA USINGEZALIWA"...HII NI KAULI YA WANANCHI WA KENYA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI