Monday, October 21, 2013
HIVI NDIVYO BAADHI YA WENYE PESA WANAVYOWADHARAU MASKINI, KWA KUWAFANYIA HAYA
Monday, October 21, 2013 by Unknown
Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote. Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.
Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako
Tags:
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “HIVI NDIVYO BAADHI YA WENYE PESA WANAVYOWADHARAU MASKINI, KWA KUWAFANYIA HAYA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.