Monday, October 21, 2013

MASHABIKI WA YANGA WAZIMIA KWA KUTOKUAMINI KILICHOTOKEA JANA SIMBA NA YANGA




Hakika Baada ya zile Goli tatu za Yanga kipindi cha kwanza hakuna aliye amini kuwa simba wangezirudisha zote ..baada ya kipindi cha pili Simba walirudisha magoli yote na kufanya Baadhi ya Mashabiki wa Yanga kuzimia kwa kutokuamini kinachotokea uwanjani kwa vile walikuwa washajiwekea wamesha shinda....Kweli mpira dakika 90

Tags:

0 Responses to “MASHABIKI WA YANGA WAZIMIA KWA KUTOKUAMINI KILICHOTOKEA JANA SIMBA NA YANGA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI