Tuesday, October 8, 2013

MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU APIGWA NA BABA WA KAMBO MPAKA KUFA



Jamaa anae fahamika kwa jina la Masaka limbu wa hapa Dar amempiga mtoto wake wa kambo mpaka kupoteza maisha, tukio hilo lilitokea jmamosi mida ya saa mbili , Baba huyo alikuwa akikagua madaftari ya shule ya mtoto huyo na kukuta hayajasahihishwa na mwalimu na kuamua kujichukulia hatua na kuanza kumpiga mpaka kifo chake kilivofika....mtoto huyo alikuwa na umri wa miaka tisa..Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi

Tags:

0 Responses to “MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU APIGWA NA BABA WA KAMBO MPAKA KUFA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI