Tuesday, October 8, 2013
MZEE MAJUTO ATANGAZA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2015..MMHH
Tuesday, October 8, 2013 by Unknown
Habari tulizozipata zinasema kuwa gwiji la sanaa za vichekesho nchini, Amri Athumani 'King Majuto' ametangaza kugombea ubunge kwa 2015.
Muigizaji huyu mkongwe mzee Majuto ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini.
Majuto mwenye umri zaidi ya miaka 60 ametangaza nia yake hiyo alipohojiwa na Clouds, na akadai atagombea kupitia CCM.
Bado tunamtafuta mzee majuto ili aweze kututhibitishia kama habari hizi ni kwa kweli au la na kama ni kweli ana mipango gani na jimbo hilo la Tanga mjini.
Je, kama ni kweli, unahisi ataweza ? Tupe maoni yako
Tags:
burudani ,
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “MZEE MAJUTO ATANGAZA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2015..MMHH”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.