Sunday, October 20, 2013
NYUMBA ZA MCHEZAJI MRISHO NGASA ZANUSURIKA KUCHOMWA MOTO
Sunday, October 20, 2013 by Unknown
Mchezaji wa Yanga Mrisho Ngasa alikuwa amesema kuwa asipofunga goli ama kutoa pasi itakayo zaa goli zidi ya simba mechi ya leo basi angechoma moto nyumba zake tano .....Lakini simesalimika baada ya kuwa mfungaji wa goli kati ya magoli matatu waliyo pata yanga .......Mechi hiyo simba na yanga walitoka droo ya 3-3
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “NYUMBA ZA MCHEZAJI MRISHO NGASA ZANUSURIKA KUCHOMWA MOTO”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.