Tuesday, October 8, 2013

TID APIGWA KIBUTI NA MPENZI WAKE NA KUSEMA HAYA "AM SINGLE AGAIN MY GAL

 JUST LEFT ME"
Leo asubuhi nimekutana na hii Massage ya Mwanamuziki wa Bongo Flava TID kwenye Ukurasa wake wa Facebook ikisema "I am very sad to tell u guys that ..........am single again my girl just left me" 
Akimanisha kuwa ninasikitika kuwaambia kuwa mimi ni single tena msichana wangu ameniacha...
Watu mbali mbali wame comment kumpa moyo na pole ..chini ni Baadhi ya comments:
Humaira ST Salamy Unyama unyamani mbuga za wanyama wapo wengi nenda serengeti
9 minutes ago via mobile · LikeAshura Kinda pole sana....
8 minutes ago via mobile · LikeJoan Fred Wry nt may allah gv ya strngth, hopely ya gonna hv sm1 special again, bt nw unatakiwa uoae, ili ummiliki icwe rahc kukuacha@tid
4 minutes ago · Edited · LikeRashid Hatibu M'luky Dont mention the glorious name of ALLAH kwenye uzinifu, pumbafu!!!
3 minutes ago via mobile · LikeMgawe Rama Oh! Am very sorry! mzee mnyama ucjar kama ulipangiwa uwenaye utakuwanae tu kama sio utapata wa kuwanae amini muumba huwa hamzurumu mja wake!.





Tags:

0 Responses to “ TID APIGWA KIBUTI NA MPENZI WAKE NA KUSEMA HAYA "AM SINGLE AGAIN MY GAL”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI