Thursday, November 21, 2013
HATIMAYE WASTARA APATA MCHUMBA WA KUMUOWA SOMA HAPA NI NANI HUYOOOO!!!!
Thursday, November 21, 2013 by Unknown
Na Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Deogratus Shija ameshauriwa amuoe msanii mwenzake, Wastara Juma aliyekuwa mke wa
rafiki yake, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, baada ya
kufunguka kuwa hajampata mwanamke aliyetulia.
Wastara.
Ushauri huo uliibuka kwenye mtandao wa Face book hivi karibuni ambapo, awali msanii huyo aliandika ‘status’ iliyoeleza sababu za kutooa mapema licha ya kuwa umri unamruhusu ndipo wadau walipoanza kumshauri amuoe Wastara.
Mdau mmoja aitwae Milian Kopa alitupia ujumbe usemao:
”Muoe Wastara Shija, ya nini uhangaike wakati kila mmoja anatambua yule ni mke mwema.” Shija hakufunguka chochote juu ya ushauri huo ulioungwa mkono na wadau wengi.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “HATIMAYE WASTARA APATA MCHUMBA WA KUMUOWA SOMA HAPA NI NANI HUYOOOO!!!!”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.