Saturday, November 30, 2013
RIPOTI KAMILI KUHUSU MTANGAZAJI WA TBC FM ALIYEKOSWAKOWA KUWAWA NA SIME...!
Saturday, November 30, 2013 by Unknown
AMA kweli nimeamini Maisha ni Watu na siku zote Tenda Wema Nenda zako.
Huyo
jamaa aitwae Bondia Mada Maugo maskani yake Gongo la Mboto.Jana
alikuwa na Uzinduzi wa Wimbo wake aloimbiwa na Bendi ya Kijaluo.
Nilienda hapo kumsapoti mpaka nikanunua CD 1 kwa SH 50000.Yote hayo ni kwa ajili ya
kumpa yeye Sapoti na hata hivyo mimi huwa nampa sana sapoti anapokuwa
na mechi zake pamoja na kuwa anaishia kutwangwa,ila kumbe fadhila za
Punda ni Mateke.
STory iko hivi,jana baada ya Uzinduzi wa hiyo CD
wakati wa kuondoka Dem wake tena akiwa na Yeye Maugo akaja kuongea na
mimi akidai anasoma Chuo Cha Utangazaji hivyo angefurai kama ningempa
sapoti ya kufanya fild TBC fm na akadai anapenda Sana Vipindi vyangu
hivyo lets be intouch.
Akiwa anazungumza na mimi alikuwa akiongea
kiingereza,sasa sikujua labda Mada alijua Dem wake ananitaka au la.Si
unajua tena Mwenzangu na mimi hajui hata ya kuombea maji,hiyo lugha
imempita kushoto.
Jamaa akaanza kufoka na kuanza kumpiga Dem wake,Akaona haitoshi Kachukua sime kwa gari eti anakuja kunichoma nayo.
Bahati
nzuri kulikuwa na Watu pale Wakamshika.Ila Poa Pamoja na yote mimi kwa
Roho Safi nimemsamehe coz yule mtu na Chizi hakuna utofauti.Ngumi
anazopigwa zimemfanya awe Chizi.Kwa Wanaomjua Vizuri watakubaliana na
mimi.Vituko anavyofanya mtaani Ni noumah sana!!
Credit: babamzazi
Tags:
burudani

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “RIPOTI KAMILI KUHUSU MTANGAZAJI WA TBC FM ALIYEKOSWAKOWA KUWAWA NA SIME...!”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.