Saturday, November 30, 2013

TAZAMA PICHA KILICHOTOKEA JANA KATIKA FAINAL YA KUMSAKA MSHINDI WA EBSS 2013..!!





DSC_0110 
Kinyanganyiro
cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013
kimekamilika alfajiri hii kwenye ukumbi wa Escape 1.


DSC_0068 
Mashindano
haya ambayo kidogo yalichelewa kuanza yalipambwa na wasanii mbalimbali
wakiwemo Barnaba,Makomando,Young Killer,water chilambo,Shaa,Kimbunga na
Snura.


Katika mashindano haya ambayo yalikua na jumla ya washiriki watano 
ambao ni Amina Chibaba,Elizabeth Mwakijambile,Emmanuel Msuya,Maina
Thadei na Melisa John,ambao walipita kwa round tatu kisha majaji
kuwapunguza watatu na kisha kubakia Emanuel Msuya na Elizabeth
Mwakijambile katika Round ya 4 na ya mwisho.





DSC_0098 
Katika
round ya mwisho,Emmanuel Msuya ameibuka kidedea na kuwa Mshindi wa Epiq
Bongo Star Search 2013,akiwa ni mshiriki anaetokea Jijini Mwanza na
kumpokea taji water chilambo ambae alikua mshindi wa mwaka jana.


DSC_0141 
Zawadi kwa mshindi wa mwaka huu ni Milion hamsini[50]ambayo kakabidhiwa jukwaani.

Tags:

0 Responses to “TAZAMA PICHA KILICHOTOKEA JANA KATIKA FAINAL YA KUMSAKA MSHINDI WA EBSS 2013..!!”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI