Saturday, December 7, 2013

HATARI HATARI HATARI CHADEMA,WARAKA WA SIRI WAKAMATWA KUTOKA FILE LA OFISA USALAMA WA CHADEMA,UNAHUSU USALAMA WA MAISHA YA ZITTO KABWE,TOP 3 WANAPONGEZANA KWA MCHEZO MCHAFU ULIOFANYWA ZIDI YA KITILA NA ZITTO,WAAPA KUMUUA KAMA CHACHA WANGWE.


Ndugu watanzania,
nimelazimika
kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya
chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu mkuu, na wanaoitwa wa jumbe wa baraza la maamuzi la chama ambao kwa kweli sijafanikiwa kuwafahamu.

Waraka
huu nimeuchomoa kwenye file la kazi za kila siku za ndugu HEMEDI SABULA
ambaye ni Afisa wa kurugenzi ya ulinzi na usalama wa CHADEMA MAKAO
MAKUU.

Ujumbe uliokuwepo ndani ya huu waraka ni wa kusikitisha
sana kiasi kwamba nimeshindwa kuvumilia kuacha kuona watanzania
wakiendelea kupotoshwa namna hii.
Tafadhali wanahabari sambazeni
ujumbe huu ili watanzania wengi zaidi waweze kuendelea kutambua
kinachoendelea ndani ya chama chetu.
Ninaomba niendelee kuficha jina langu kwa sasa
Niiteni mwanamapinduzi mzalendo.
Makao makuu chadem
regards





















Nanukuu katika hayo maelezo maana naona hayasomeki vizuri










mheshimiwa mwenyekiti, wajumbe wa baraza maalum la mapinduzi ya chama ni vema sasa tujipongeze kwa kazi nzuri tuliyoifanya.
Tangu tulipomalizana na CHACHA WANGWE harakati na mikiki mikiki yake kuanzia 2008 sasa tumekomesha.
Tuwapongeze sana makamanda LEMA na MNYIKA kwa kuandaa waraka wa siri unaoonyesha namna anavyolipwa mamilioni ya fedha. Hata kama atakwenda kushitaki mahakamani tutasingizia kuwa amebebwa na mahakama kwa kuwa agenda yetu ya kumshusha na kutumiwa na CCM imefanikiwa sana kama ilivyokuwa kwa WANGWE, hivi sasa kila kona ananuka, hakuna anayeweza tena kumuamini kuwa hatumiwi na CCM, mpaka ukweli utapokuja kugundulika kuwa na mchezo nafikiri itakuwa tayari tumeshatimiza malengo yetu.
Pamoja na pongezi lakini pia hatutakiwa kulala, ni lazima tuendeleze mapambano ya kumchafua mpaka aone aibu kutembea, mpaka ajivue uanachama na ubunge.Huyu sio mtu mzuri hata kidogo,amevamia chama ambacho hajui waasisi wetu mlikianzisha kwa malengo gani, eti demokrasia, shauri yake
Tumdhibiti sasa na agenda yao ya kwamba sisi ni chama cha wahagga na wakristo, kuwaajili watu wa mikoa mingine kama vile Marcus,Kibatala na wengineo inaweza kuwa utetezi kwetu. Hoja ya ubunge wa viti maalum kuwa ni upendeleo haina mashiko tena shida ni hili la uchaga na ukristo kidogo, japo la ukristo linatubeba kwa kuwa tunapata sapoti ya wakristo wengi.
Nimesikia fununu kuwa watazunguka nchi nzima kutusema vibaya lakini hawatafanikiwa kwa kuwa makamanda wetu wameshatangulia huko tangu usiku wa siku tuliyomchinja.
Nimewaagiza pia makamanda wetu wa RED BRIGED wazuie na ikiwezekana kuwadhuru na hata kuwaua kabisa dawa ya hawa watu ni kuwashughulikia mpaka mwisho

NAWASILISHA USIRI UENDELEE KWENYE MAWASILIANO YETU.

Tags:

0 Responses to “HATARI HATARI HATARI CHADEMA,WARAKA WA SIRI WAKAMATWA KUTOKA FILE LA OFISA USALAMA WA CHADEMA,UNAHUSU USALAMA WA MAISHA YA ZITTO KABWE,TOP 3 WANAPONGEZANA KWA MCHEZO MCHAFU ULIOFANYWA ZIDI YA KITILA NA ZITTO,WAAPA KUMUUA KAMA CHACHA WANGWE.”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI