Thursday, December 5, 2013

Picha: Wapenzi mapacha wa kiume na mapacha wa kike wa Nigeria, waingia kwenye ‘Guinness Book of World Records’ kwa kufunga ndoa siku moja




Couple mbili za mapacha wanne wanofanana (identical twins) wa Nigeria, wamefanya kile kinachoaminika kuwa ni cha kipekee na cha kwanza kuwahi kufanyika nchini humo, baada ya kufunga ndoa zao siku moja na kufanya sherehe moja.

twin wed-1

Mapacha hao wa kiume (Febisola Kehinde Okunniyi na Chibuzor Adelakin Okueze) walifunga ndoa na wapenzi wao mapacha wa kike (Folawemi Taiwo Okunniyi na Chinonso Akinade Okueze) Jumamosi iliyopita (Nov 30) huko Lagos, Nigeria.

twin wed-2

twin wed-3

Mtandao wa Daily Star wa Nigeria umedai kuwa ndoa za mapacha hao wanne kwa pamoja huenda zikawa za kwanza kwa Afrika, na kwa mujibu wa maafisa wa kitabu cha rekodi za dunia ‘Guinness Book of World Records’, ni ya 251 duniani.




SOURCE: DAILY STAR

Tags:

0 Responses to “Picha: Wapenzi mapacha wa kiume na mapacha wa kike wa Nigeria, waingia kwenye ‘Guinness Book of World Records’ kwa kufunga ndoa siku moja”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI