Home
» kitaifa
» HUZUNI: Raisi wa Zamani wa Afrika Kusini ndugu NELSON MANDELA AMEFARIKI DUNIA jana baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Thursday, December 5, 2013
HUZUNI: Raisi wa Zamani wa Afrika Kusini ndugu NELSON MANDELA AMEFARIKI DUNIA jana baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Thursday, December 5, 2013 by Unknown
Raisi wa zamamni wa Afrika ya kusini bwana Nelson Mandela amefariki dunia jana jioni akiwa na miaka 95 baada ya kuugua na luzwa kwa muda mrefu hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa rasmi toka serikali ya Afrika kusini zimethibitisha kifo hicho cha ndugu Mandela na tayari raisi wa Afrika kusini mr. Jacob Zuma ametuma salamu za rambirambi kwa familia na wanachi wote wa afrika ya kusini na duniani kwa ujumla walioguswa na kifo hiki.
Mandela atakumbukwa kama mfano na alama ya Afrika kwa kuongoza mapambano makubwa dhidi ya ubaguzi wa Rangi nchini Afrika kusini na Afrika kwa ujumla.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
Tags:
kimataifa ,
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “HUZUNI: Raisi wa Zamani wa Afrika Kusini ndugu NELSON MANDELA AMEFARIKI DUNIA jana baada ya kuugua kwa muda mrefu.”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.