Wednesday, December 4, 2013

MAPOKEZI MAKUBWA YA DR SLAA KAHAMA






Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Kahama mara baada ya kuwasili mjini hapo kwa ziara yake ya kichama jana



Dr Slaa akisalimiana na wananchi waliofika kumpokea mjini Kahama jana. leo Desemba 5, atakuwa Wilaya ya Kakonko, Jimbo la Buyungu na Desemba 6, atakuwa Jimbo la Muhambwe.

CREDIT-MICHUZI

Tags:

0 Responses to “MAPOKEZI MAKUBWA YA DR SLAA KAHAMA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI