Sunday, December 1, 2013

KAULI YA BEN POL BAADA YA MSHINDI WA BSS WA MWAKA JANA NA MWAKA HUU KUIMBA WIMBO WAKE NA KUIBUKA WASHINDI




Mwaka jana katika mahindano ya BSS mshindi Walter Chilambo alitumia wimbo wa nikikupata wa Ben Pol na kuibuka mshindi katika shindano hilo.. Mwaka huu tena mshiliki aliyeshinda kinyang'anyilo hicho (Emmanuel Msuya) Alitumia tena wimbo wa Ben Pol na ukampa alama za juu na kufanya ashinde. Kutokana na hatua hiyo soma alichokiandika Ben Pol na jinsi anavyojisikia kwa sasa.

Tags:

0 Responses to “KAULI YA BEN POL BAADA YA MSHINDI WA BSS WA MWAKA JANA NA MWAKA HUU KUIMBA WIMBO WAKE NA KUIBUKA WASHINDI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI