Sunday, December 1, 2013

MAJANGA:KATIBU WA WILAYA YA CHUNYA CHADEMA AJIUNGA CCM




Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akipiga makofi wakati Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya aliporejesha kadi yake ya chama hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Lupa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akipiga makofi wakati Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya alikionyesha kadi yake ya chama cha Mapinduzi CCM baada ya kukabidhiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Lupa.
Mbunge wa jimbo la Songwe na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh Philip Mulugo akimvisha shati la CCM Bw. Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya aliporejesha kadi yake ya chama hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano wa hadhara kata ya Lupa.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akimuangalia Bw. Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya wakati akihutubia aliporejesha kadi yake ya chama hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano wa hadhara kata ya Lupa.
GPL

Tags:

0 Responses to “MAJANGA:KATIBU WA WILAYA YA CHUNYA CHADEMA AJIUNGA CCM”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI