Saturday, December 7, 2013

PESA ZA WATEJA WA M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY NA Z-PESA WANAO FARIKI ZINAKWENDA WAPI?




Kutokana na makampuni karibu yt ya simu Tz kuwa na huduma hz za mobile money, Je inapotokea mteja amefariki, makampuni yanawajibika vipi kuhusu kurudisha pesa za mteja wao kwa msimamizi wa mirathi au warithi?

swali hiili linazingatia kuwa wateja wanaoweza kutwa na mauti kwa vyovyote wanaweza kuwa na akiba kidogo kwenye ac zao za mitandao ya simu wanayotumia!

Je kuna sheria yoyote ambayo imeweka bayana masuala haya?

kwa wenzetu walio kwenye makampuni ya simu tafadhali mtusaidie kwa hili!
naomba kuwasilisha kwa mjadala!

Tags:

0 Responses to “PESA ZA WATEJA WA M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY NA Z-PESA WANAO FARIKI ZINAKWENDA WAPI?”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI