Saturday, December 7, 2013

(Photo’s) DIAMOND PLANTINUMZ ANOGESHA SIKU YA KUZALIWA YA MWANAMUZIKI K-LYNN




Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha baada yakutizama show kali ya Diamond.

Tags:

0 Responses to “(Photo’s) DIAMOND PLANTINUMZ ANOGESHA SIKU YA KUZALIWA YA MWANAMUZIKI K-LYNN”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI