Monday, March 17, 2014

ADHABU ZA WABEBA MADAWA YA KULEVYA KWA WABONGO INGEKUWA HIVI LAZIMA WANGEACHA TU...!!


Au wakikuhurumia watakufanya hivi.

Ukishikwa China, watakupiga risasi mbele za watu,
Ukikamatwa Saudi Arabia, kama mkiwa wengi mtaadhibiwa kwenye kifaa hiki.



Kama siku hiyo mpo wachache, au ukiwa peke yako, utamalizana nao kwa style hii.
Ukikamatwa Pakistani, utaadhibiwa hivi.
Kwanini u'risk maisha yako?


Kijana, fikiria mama yako aliyekuzaa akiona unaishia hivi atasononekaje moyoni mwake?


Ni kweli umeishiwa mbinu za kujipatia kipato kwa njia nyingine halali?


Kijana wa Kitanzania, wewe ni spesho hakuna kama wewe.


Hakuna kitu chenye thamani kama maisha yako.


Usikubali kuwa punda wa kubebea watu madawa yao ya mabilioni ya pesa kisha wewe unaambulia pesa ya kununulia saloon car(kama ukinusurika kukamatwa

Tags:

0 Responses to “ADHABU ZA WABEBA MADAWA YA KULEVYA KWA WABONGO INGEKUWA HIVI LAZIMA WANGEACHA TU...!!”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI