Tuesday, March 25, 2014

LOL!! HAKI NA UKWA KUTOKA NIGERIA NI NOMA SASA WAMEIGIZA KAMA WANAWAKE ,YAANI UNAWEZA JISAHAU UKAWAT0NGOZA, JIONEE HAPA PICHAZ ZAO NI BALAA




Hawa ni waigizaji maarufu sana nchini Nigeria, kwa majina yao maarufu wanatambulika kama Aki na Osita Iheme ( Ukwa ) ni marafiki






wakubwa ambao wamefanikiwa kuigiza filamu nyingi na kuliteka soko la tasnia hiyo katika mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika, Tanzania ikiwemo.


 
UNAONAJE WAMEPENDEZA HAWAJAPENDEZA??

Tags:

0 Responses to “LOL!! HAKI NA UKWA KUTOKA NIGERIA NI NOMA SASA WAMEIGIZA KAMA WANAWAKE ,YAANI UNAWEZA JISAHAU UKAWAT0NGOZA, JIONEE HAPA PICHAZ ZAO NI BALAA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI