Sunday, March 23, 2014

MAJANGAZ & BONGO:- MWANAMKE BAADA YA KUNASWA AKIVUNJA AMRI YA 6 YA MUNGU NA RAFIKI WA MUMEWE LIVE!!




Tazama Picha mbalimbali jinsi Aibu ilivyomkuta huyu mama baada ya kufumaniwa na mume wa Mtu ambapo Mwanaume na mume wa rafiki yake










Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.


Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzese.
Mwanahabari alinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa

Tags:

0 Responses to “MAJANGAZ & BONGO:- MWANAMKE BAADA YA KUNASWA AKIVUNJA AMRI YA 6 YA MUNGU NA RAFIKI WA MUMEWE LIVE!!”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI