Sunday, March 23, 2014

MTANGAZAJI MAARUFU GODWIN GONDWE KAHAMIA CLOUDS FM/TV ?


Nimekutana na Picha Mbali mbali za Mtangazaji Maarufu wa Redio One akiwa amepiga na watangazaji wa Clouds Fm Wakiwa Wanatoka Mapumziko/Semina Arusha ambapo walikuwa huko kwa Takribani Week moja...Anaye jua atujuze kama ninachoona ni sahihi......ama wamekutana tu uwanja wa ndege na kupiga picha nae....

Tags:

0 Responses to “MTANGAZAJI MAARUFU GODWIN GONDWE KAHAMIA CLOUDS FM/TV ?”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI