Sunday, March 23, 2014
UCHI NIKIVAA NGUO, SASA ANANISUMBUA ,ANATANITAKA

Baba mdogo wangu ananitaka kimapenzi, alikuja gafla chumbani kwangu na kuingia bila kupiga hodi kuniambia kwamba mama amezimia gafla kutokana na ugonja wa kifafa unaomsumbua.
Bahati mbaya wakati anaingia chumbani kwangu gafla alinikuta nikiwa uchu nikiwa nimevaa chupi tu, sasa toka wakati huo amakua akiniangalia kwa macho ya kimapenzi na anataka kutoka na mimi out anasema kuna jambo anataka kuongea na mimi.
Nimefikiria kumwambia kaka yake , lakini nahisi nikimwambia baba naweza kufanya tatizo kuwa kubwa zaidi, naombeni ushauri wanajamii forums, sababu sasa ameanza kunitumia message za mapenzi usiku, na huyu ni baba yangu mdogo na amenipita miaka mingi kwa kweli, namheshimu na naogopa kumjibu vibaya.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

0 Responses to “UCHI NIKIVAA NGUO, SASA ANANISUMBUA ,ANATANITAKA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.