Thursday, March 27, 2014

UKWELI KUHUSU TREY SONGZ KUWA SHOGA!









Jana katika mitandao mbali mbali ya kijamii ilionyesha snap inayodaiwa kupigwa katika akaunti ya msanii Trey Songz na kudai kuwa amekubali mbele ya jamii kwa yeye ni "Shoga", katika snap hiyo inayodaiwa kupigwa katka akaunt ya Trey Song tarehe 25/03/14 saa 17:48 iliandika kuwa “I think it’s time to finally tell my fans. All games and jokes aside…I’m gay”

Tags:

0 Responses to “UKWELI KUHUSU TREY SONGZ KUWA SHOGA!”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI