Sunday, April 13, 2014
Maandalizi ya mazishi ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo bado yanafanywa na familiamillardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu na kuongea na mtoto wa kwanza wa marehemu Abdallah Muhidin Gurumo.Abdallah amesema mpaka sasa kama familia wameamua mazishi yafanyike Jumanne yaApril 15...
Taarifa kutoka kwa Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu wakitazama mpira.Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa ulioambatana na...
Hapa ni eneo la Jangwani Uwanja wa Club ya Yanga na nyumba zilizopo pembeni yake pakiwa pamejaa maji na barabara ya jangwani kutokea Kigogo haipitiki.Huu ni uwanja wa Club ya Yanga ukiwa umejaa maji.Hii ni Braking News ya...
Sunday, March 30, 2014
Ooh! Noo! Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ amebondwa kwa mara nyingine na kusababishiwa majeraha makubwa mwilini, Ijumaa Wikienda lina kisa cha kusikitisha. Habari za uhakika zilieleza kwamba tukio hilo...
Lupita’s sense of humor is refreshing and it is exciting to keep tabs on her because you never know what to expect. One moment she is super elegant, the next she is humble in an acceptance speech...
Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini’ .Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner...
Zaidi ya wasanii watano kati ya wale 19 waliojumuika kutengeneza wimbo na video ya wimbo "Cocoa na Chocolate" kwa ajili ya kuhamasisha kilimo kwa vijana na kuwa kiimo kinalipa, wamekutana Lagos nchini Nigeria kwa ajili ya uzinduzi wa...
It was last nyt, kwa wale wanaemjua wolper na penny nazani watakuwa wameelewa kilichofata ni nii baada ya kupombeka, hebu check na picha hiyo chini ,Picha hii imekaa kimahaba zaidi, na ukiangalia hapo hhahah hakuna kubisha it seems...